Filimoni Gaufridius Kahena
Wasifu:
Mpigania haki, achukizwaye na hujuma Kujitoa kupigania haki
Alipoonekana mwisho: Shinyanga
Alikuwa na boda boda wenzake akifukuzia gari la watekaji liliokuwa limemkamata kijana kutokea kijiji cha kakola ambapo watekaji walisimama na kumteka pia