Victim photo

Said Mkane

Hali: Aliuwawa Umri: 50

Wasifu:

Mfanyabiashara ya mpunga katika wilaya ya mbarali, mbeya.. Mwana jamii na mwenye moyo wa kujali na kujitolea

Alipoonekana mwisho: Mbeya

Alipigwa risasi ya kichwani na askari siku ya jumatano 29 October wakati akiwa anatoka kufanya mazungumzo na rafiki zake