Benson Mgwalu
Wasifu:
Benson alikua fundi wa magari. Ofisi na makazi yake yalikua Tegeta. Alikua fundi mzuri sana wa magari kwa zaidi ya miaka 20 katika kazi hio. Aliuwawa kwa risasi ya kichwa.
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
—