‹ Nyuma
Phillemon Kasanze
Hali:
Aliuwawa
Umri:
58
Wasifu:
Mfanyabiashara mashuhuri
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Aliuwawa October 30 akiwa eneo lake la biashara dar es salaam boko magengeni, mwili Ulipatikana na familia ilizika.