Gregory Marco Mgifi
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dodoma
Gregory Mgifi alikuwa mkazi wa Dar es Salaam Alienda Dodoma kikazi na alipigwa risasi na kufariki tarehe 30 Oktoba
Alizikwa mkoa wa Iringa, wilaya ya Iringa vijijini , kijiji cha Wangama