Julias Ngali Mbwani
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dodoma
Aliuwawa Dodoma na mapolisi tarehe 30/10/2025
Alichukuliwa na polisi na pikipiki yake na kupakiwa kwenye gari la polisi. Akampigia simu mke wake kwamba amekamatwa na mapolisi. Kesho yake mke wake anafatilia polisi central wanamwambia hawana mtu kama huyo akaangalie kwenye vituo vingine. Akahoji mbona pikipiki yake ipo hapa nje kituoni, wakasisitiza hakuna mtu kama huyo. Then mke wake na ndugu wakaamua kufatilia kwenye vituo vingine but hawakumpata. Mwili ulikutwa Benjamin Mkapa na alizikwa