Abdallah Saad Hussein
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Pwani
Mahali: *Kwa MATHIAS*, KIBAHA, Mkoa wa Pwani.
Msikiti: *Masjid Qadiria* maarufu kama *Msikiti wa sheikh Kishki*
Tarehe ya kifo: 30/10/2025
Mazingira ya kifo: Hakuwa sehemu ya waandamanaji, alipigwa risasi na polisi akivuka barabara kwenda kuswali swala ya saa 7 mchana.
Mwili wake ulihifadhiwa hospitali ya TUMBI na mazishi yalifanyika kijijini kwa Turiani, mkoa wa Morogoro.