Gibson King
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Arusha
Alipigwa risasi siku ya Tar 29 Oktoba. Alipigwa risasi ya kichwa. Hakuwa kwenye maandamano Alikuwa eneo lililotokea ajali ya bodaboda kugongana. Alipaki gari lake pembeni ya barabara akaenda eneo la tukio Alipokuwa akirudi kwenye gari ndio akakutana na gari la maaskari walimfyatulia risasi na kufa papo hapo