‹ Nyuma
Daudi Shija
Hali:
Aliuwawa
Umri:
30
Wasifu:
Alikuwa mwimbaji wa kwaya kanisani
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Aluwawa kwa kupigwa risasi ya kichwa Oktoba 30 2025, hata mazisihi yake ilifanywa kwa siri ila alizikwa na familia.