Victim photo

Novath Colman Kimario

Hali: Aliuwawa Umri: 25

Wasifu:

Alipoonekana mwisho:

Alipigwa risasi ya kichwa huko manzese Kilimani akiwa nyumban kwake. Tumezika Rombo Tarakea Tarehe 08/11/2025