Grace Peter Mabulla
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alitoka nyumbani akielekea dukani tarehe 29 mida ya jioni maandamano yakamkuta nje na mabomu na taharuki akuweza kurejea kwa mama yake na simu yake mpaka leo aipatikana.hivyo tunaomba mtusaidie kama kuna mahali popote alionekana au msamaria mwema alimuhifadhi dhidi yaliyotokea tupate taarifa