Victim photo

Renatus John

Hali: Hajulikani Alipo Umri: 33

Wasifu:

Mchangamfu mpambanaji

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Tuliwasiliana akiwa maeneo ya Vingunguti tarehe 29 Oktoba 2025 Baada ya hapo hajapatikana tena