Dawson Dominique Mwesiga
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Tarehe ya kuzaliwa: 24 Desemba 2000
Namba ya simu aliyokuwa akiitumia: +255 752 968 227
Mara ya mwisho kuonekana/mwasiliano: 29 Oktoba 2025, saa 4:34 asubuhi
Eneo la mwisho alipoonekana: Kimara, Dar es Salaam.
Familia itatoa tuzo ya Shilingi Milioni 5 (Tsh 5,000,000/=) kwa yeyote atakayetoa taarifa sahihi zitakazosaidia kumpata Dawson Dominic Mwesiga, akiwa hai au akiwa marehemu. +255 680 471 679