Jackson Shirima
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alipigwa risasi mbili ,moja makalioni na nyingine kiunoni, ndugu walimkimbiza Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu. Walipopelekwa huko, walipewa namba ya daktari. tarehe 30, walimpigia daktari aliwaambia kwamba anaendelea vizuri, wakitarajia kumfanyia upasuaji mwingine kuondoa risasi iliyobaki. Lakini hali ilibadilika ghafla. Tarehe 31, hawakumpata tena wodini.mwili ulipatikana tarehe 6/11/2025 huko Muhimbili.Katika daftari la wanaotafuta ndugu zao, familia ilikuwa namba 1760+