Victim photo

Paulo William Silayo

Hali: Aliuwawa Umri:

Wasifu:

Alipoonekana mwisho:

Paulo wiliam silayo kabla ya maandamano ya tarehe 29.10.2025, Paulo aliandika kwamba endepo atakufa kwenye maandamano basi ameacha mke akiwa mjamzito anaomba atunzwe, pia Mke akijifungua mtoto wa Kiume basi aitwe Tundu Lissu, alisisitiza kwamba anaenda kuifia nchi yake.Polisi wameficha mwili ndugu hawajapata nafasi ya kuzika.