Moses Raymond Mwanja
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dodoma
Aliuwawa na Risasi mbele ya familia yake tarehe 30/10/2025 huko Dodoma na alizikwa tarehe 6/11/2025 Makaburi ya Masekelo Shinyanga karibu kanisa la Roma Ndala
Baada ya kumpigwa risasi walimbeba na kuondoka na mwili wake (haieleweki walizika nini)
Kaacha watoto watatu wadogo na mke inauma sana