Allen Humphrey Isanja
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Arusha
Huyu mtoto alipigwa Risa's Arusha akiwa anatembea anaenda stationary, Mwili haujapatikana mpaka leo ila wamekuta viatu vyake vipo mochwari, Amemaliza Tengeru boys mwaka jana.