‹ Nyuma
Maria Mathew Munuo
Hali:
Aliuwawa
Umri:
18
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Tarehe 29 Oktoba 2025 alitumwa dukani, akiwa njiani akapigwa risasi ya tumbo na polisi. Akafariki dunia.