Liberatus Samson Kamayugi
Wasifu:
Liberatus, alikuwa kijana mpambanaji sana, wakati wote amekuwa akivaa rozari. Ni fundi mzuri sana wa furnitures (Sofa).
Tumepata kuona video za mpendwa wetu
mtandaoni tar. 6/11/2025 kwa Mange Kimambi akiwa amevali mavazi ya siku hiyo T-shirt ya blue na suruali nyeusi pamoja na
rozari yake nyeupe.
Mwili wake Haujapatikana mpaka sasa.
https://x.com/mangekimambi/status/19864
33862789124376?s=46
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Liberatus, alitoka ofisini kwake Sinza Mapambano, na kuuliwa akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake Mbezi ya Kimara.