Victim photo

Mwenyekiti Wa Kijiji Chief Kerende Nyamongo

Hali: Alijeruhiwa Umri: 48

Wasifu:

Ni mwenyekiti wa kijiji Kwa ticket ya CCM

Alipoonekana mwisho: Mara

Kijiji kilivamiwa na maaskari wanaopiga risasi watu waliuliza wananchi mnataka Nini ukisema hatumtaki Samia unapigwa risasi walikufa wa kama 15 Kwa pamoja