Jikubali Jikubali
Wasifu:
Kijana mwenye watoto watatu wadogo aliuwawa akiwa anategemewa
Alipoonekana mwisho: Mara
Alipigwa risasi ya mguuni na polisi baada ya hapo wakamfuata kumshushia kipigo kikali sana akafa Kwa mateso