‹ Nyuma
Alphan Hamis Malima
Hali:
Aliuwawa
Umri:
31
Wasifu:
Alipigwa risasi akiwa gengeni ananunua matunda jirani na nyumbani alikokuwa akiishi
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alipigwa risasi mwili wake ukabebwa na haujapatikana