Victim photo

James Hans Mbwambo

Hali: Aliuwawa Umri: 25

Wasifu:

Mchapakazi, mwenye heshima sana na mwenye upendo sana kwa kila mtu

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Alikuwa mwuuza simu. Alipigwa risasi ya kichwa Oktoba 29, 2025 maeneo ya polisi mabatini na kufariki pale pale(Sinza) police walichukua mwili wake, tulitafuta mwili mochwari zote hatukuupata lakini kwenye ile video ya mochwari ya mwananyamala tuliuona mwili wake na nguo zake. Hadi sasa mwili wake haujapatikana