Mkamba Hussein
Wasifu:
Alikua kijana mzuri na mwenye elimu nzuri, ila alipigwa risasi na familia yake haikupewa mwili kuzika.
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alipigiwa risasi akiwa Magomeni akapelekwa hospital ya wilaya Magomeni hapo ndio umauti ulimkuta, alivyo pelekwa moshwari mwili hauku patikana tena.