‹ Nyuma
Ester Sanga
Hali:
Alijeruhiwa
Umri:
80
Wasifu:
Mcha Mungu na Mpenda watu
Alipoonekana mwisho: Mbeya
Alipata mshtuko uliopelekea kupata shambulio la Moyo baada ya Mjukuu wake Kuchukuliwa na Kupigwa Mbele yake