Victim photo

Peter Makundi

Hali: Aliuwawa Umri: 34

Wasifu:

Alikua ni muungwana sana, mcheshi and a family man.

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Siku ya tukio alikuwa ametoka kwa ajili ya kwenda kutafuta kitoweo. Akakutana na waandamanaji maeneo ya Shekilango kwa bahati katika fyatua fyatua iliyokua ikiendelea toka kwa polisi risasi moja ilimpata kifuani.