Victim photo

James Isaya Simba

Hali: Aliuwawa Umri: 32

Wasifu:

Dereva, Mshkaji, kaka na baba wa familia changa. Rafiki wa kweli

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Aliuwawa kwa kupigwa risasi Salasala. Alipigwa risasi mbezi rafia akiwa anaelekea kutafuta mahitaji ya mtoto wake mchanga.